for-the-first-time-ever-astronomers-detected-planets-outside-our-galaxy-in-2018

umuhimu wa kutumia seedling tray katika kilimo

Faida za kutumia seedling tray ni kama zifuatazo1. Huzipa nafasi ya kutosha  Mbegu ambayo itapelekea Miche kuwa na ubora
2.Ni rahisi kuhudumia ukiwa umepanda kwa tray.
3.Tray zina vitundu kwa chini hivyo maji yakizidi huwa hayatuami.kutuama kwa maji husababisha kuoza kwa Mbegu na magonjwa ya kuvu.
4.Wakati wa kuhamisha Miche huondoka na Udongo wake hali hiyo hufanya Miche kuzoea haraka unapoipanda shambaniBei elekezi Tray moja Ina matundu  105 Bei ya tray ni 6500 .
Ukichukua tray 50+ bei ni 6,000
Ukichukua tray 100+ bei n 5,000/Karibu sana, tunakutumia  popote ulipo na pia udongo wa kupandia upo  kwa shilling 2800 per kg Bei huweza kutofautiana kuendena ubora wa tray(disposable or reusable) , idadi ya matundu n.k
Pia sio kila zao hupandwa kwenye tray , na pia sio kila tray inafaa kwa zao Fulani , Fanya uchaguzi sahihi.

Comments