for-the-first-time-ever-astronomers-detected-planets-outside-our-galaxy-in-2018

wakazi wa kanda ya ziwa wapata boti ya kisasa

Boti ya kisasa (Speed boat) MV Bluebird imeanza safari zake rasmi leo tarehe 05.01.2018 kwa kutoka bandari ya Mwanza Kaskazini (Mwanza North Port) saa tano asubuhi na imewasili katika bandari ya Bukoba Saa nane mchana.Boti hii ya kisasa inauwezo wa kubeba abiria 100 na itakuwa inafanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba na itakuwa inatumia masaa manne kufika, nauli ni Tsh elfu hamsini (Tsh 50,000)Kesho tarehe 06.01.2018 itatoka bandarini

Comments